Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwnyekiti wa CCM wa wilaya ya Ruangwa, Ibrahim Issa Ndoro baada ya Mwenyekiti huyo kuibuka mshindi katika Mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Ruangwa wa Uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Awali na Msingi, Wonder Kids, Oktoba 2, 2022. Ndoro alijizolea kura 921 na kuwabwaga washindani wake, Rashid Nakumbya aliyepata kua 21 na Fatuma Rashidi Ng’ombo aliyepata kura 17. Jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa 966, kura 7 ziliharibika . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Ruangwa, Ibrahim Issa Ndoro baada ya Mwenyekiti huyo kuibuka mshindi katika Mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Ruangwa wa Uchaguzi uliofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Awali na Msingi, Wonder Kids, Oktoba 2, 2022. Ndoro alijizolea kura 921 na kuwabwaga washindani wake, Rashid Nakumbya aliyepata kura 21 na Fatuma Rashidi Ng’ombo aliyepata kura 17. Jumla ya kura zilizopigwa zilikuwa 966, kura 7 ziliharibika . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...