Inspekta Jenerali na Mkuu wa Jeshi la Polisi , Camillus Wambura akimvalisha vyeo vipya Kamishna wa Polisi na Kamishna wa Kamisheni ya Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu Suzan Salome Kaganda
Kamishna wa Polisi na Kamishna wa Kamisheni ya Utawala na Menejimenti ya Rasilimali watu Suzan Salome Kaganda akila kiapo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...