UNAJUA ulikuwa unawaza ni wapi utaipata Kasino karibu yako, basi Meridianbet wamejibu kuhusu mawazo yako,mchongo uko hivi ukiwa na pesa yako unaweza kucheza Kasino kupitia mashine za Slot kwenye maduka ya Meridianbet yaliyopo mitaani, cha kufanya tembelea kwenye maduka hayo uweze kufurahia Kasino yenye bonasi kubwa.

Kwenye maduka ya Meridianbet utakutana na mashine "Slots" za kucheza kasino yako, na hapo jukumu lako ni moja tu ni kufuata maelekezo haya.

Unachopaswa kufanya ni kwenda kwa Keshia na atakuweka Kiwango unachohitaji kwenye mfumo ambapo kila Mashine ya Slot ina Namba zake na kiwango cha chini kucheza ni michezo 8 na kiwango cha juu zaidi ni michezo 10 lakini michezo hii inategemea na mashine anazotumia mteja

Zingatia mashine hizi hazitumii mfumo wa Shilingi bali zinatumia Credit kwa mfano Mteja akiweka Shilingi 1000 kwenye mfumo itasoma Credit 100, kwa mantiki hiyo 1 Credit= 10 TZS.

Kiwango cha chini kuweka kwenye mashine za Slot ni Shilingi 1000 na kiwango cha juu ni Milioni moja. Na Mashine za Slot zinalipa mpaka Milioni Kumi ikiwa ni kiwango cha juu.

Kiwango cha chini kucheza kwa michezo ya Slot ni Shilingi 10 sawa na 1 Credit.

Aina ya Michezo Pendwa Inayopatikana kwenye Slots
Katika Mashine za Slots kuna michezo pendwa na rahisi zaidi kushinda kwa mfano utakutana na mchezo wa Matunda "Sizzling Hot", Mchezo wa Karata "American Poker", kuna Mchezo wa "The Money", Mwingine ambao ni rahisi zaidi ni mchezo wa King Card nao ni mchezo wa Karata, Bila kusahau "Book of RA" miongoni mwa michezo maarufu ya Misri "Egyptian Game".

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...