Wananchi wa maeneo ya Kisanga, Kilimahewa, Muungano, Kinzudi, Majengo, Salasala, Muungano na Mivumoni waliokamilisha taratibu za kupata huduma ya maji wakipata vifaa kwa ajili ya kufungiwa huduma ya maji kwenye Mkoa wa kihuduma DAWASA Mivumoni. Mradi huu ni sehemu ya utekelezaji wa uboreshaji huduma ya maji kutoka Bagamoyo hadi Makongo unaotegemea kukamilika mwezi Disemba 2022.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...