RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania.Mhe.Zahra Ali Hassan,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha leo 23-11-2022.(Picha na Ikulu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania Mhe. Zahra Ali Hassan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 23-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania Mhe. Zahra Ali Hassan, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 23-11-2022, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Shirikisho la Somali Nchini Tanzania Mhe. Zahra Ali Hassan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 23-11-2022,alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...