Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akitia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,(picha ya kati) alipofia katika Ofisi ya Ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo (kushoto) Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng.



Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akitia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, alipofika katika Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar l



Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akitia saini kitabu cha maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin,(picha ya kati) alipofika katika Ofisi ya Ubalozi wa Mdogo wa China uliopo Mazizini Jijini Zanzibar leo (kushoto) Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Mhe.Zhang Zhisheng.



Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kutia saini kitabu cha maombelezo kufuatia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, leo katika Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar.



Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (katikati) akiagana na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng,baada ya kutia saini kitabu cha maombelezo kufuatilia kifo cha Rais Mstafu wa Jamhuri ya Watu wa China Jiang Zemin, leo katika Ofisi ya Ubalozi Mdogo wa China Mazizini Zanzibar (kulia) Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Ofisi ya Zanzibar Bi.Mariam Haji Mrisho.[Picha na Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...