DC Mbulu Mhe Kheri James akizungumza ofisini kwake na viongozi wa RUWASA Mkoa wa Manyara, wakiongozwa na Meneja wa RUWASA Mhandisi Walter Kirita (kushoto kwake) na kulia kwake ni DAS Mbulu Sarah Sanga, ambapo RUWASA wamempa mikakati ya kusogeza huduma ya maji vijijini ikiwemo ujenzi wa mradi mkubwa wa maji kutoka Dambiya ambao utahudumia Vijiji 19.
Vijiji vinavyolengwa ni:-
Endamilay, Endalat, Qaloda-Ganway, Qandach, Endanachan, Murkuchida, Basonyangwe, Basoderer, Dirim, Yaeda Kati, Bashay, Haydom, Garbabi, Yaeda Chini, Mongo wa Mono, Eshkesh, Domanga, Endagulda na Harar.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...