Kutoka Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la TradeMark Africa (TMA) Monica Hangi na Mwenyekiti wa Chama Cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) Mwajuma Hamza walipokua wakizungumza leo na Waandishi wa Habari hawapo pichani kwenye mkutano uliofanyika Hoteli ya Four Point zamani New Africa Jijini Dar es Salaam.
Na Khadija Kalili
MWENYEKITI wa Chama Cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) Mwajuma Hamza ametoa wito kwa wanawake wajasiriamali na wafanyabiashara kushiriki katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani ambayo yanatarajiwa kufanyika Machi 9 hadi 12 mwaka huu.
Mwenyekiti huyo wa TWCC amesema hayo leo asubuhi alipozungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari uliofayika katika Hoteli ya Four Point Jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...