Watayarishaji wa maonyesho makubwa ya International Afrika International Festival Tübingen Germany yatakayofanyika kuanzia 01 June mpaka 04 June 2023 katika mji wa Tübingen,nchini Ujerumani , wamefungua milango ya maombi kwa wale wanaotaka kushiriki katika maonyesho hayo.
Katika tamasha hilo kutakuwa na maonyesho ya makampuni ya kiafrika na bidhaa zao,maonyesho ya sanaa na utamaduni,na wale wenye makapuni ya shughuli za utalii wote mnakaribishwa kuwahi fursa ,Maonyesho hayo yanayofanyika kila mwaka yanatoa nafasi kwa wafanyibiashara wanao shughulikia biadhaa a sanaa za maonyesho za kiafrika,mavazi,kiimo,sanaa za mapambo N.K
Msikose kutumia fursa hii adimu ya kushiriki katika maonyesho haya
ya kimataifa ambayo yana faida kubwa kwa wasanii,wanahabari,wanamitindo na makampuni (SMEs) na bidhaa zenu,nufaika kwa kujitangaza kimataifa.
au contact
Pia unaweza kuwasiliana kwa namba +255(0)713457743 (Shamsa)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...