Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Yamungu Kayandabila, akifafanua jambo kwa Mchambuzi Mkuu wa Mifumo ya Malipo kutoka Kurugenzi ya Mifumo ya Malipo ya Taifa, Bw. Nestory Maro, alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Mawasiliano BoT, Bi. Victoria Msina, Mkurugenzi wa Usimamizi Rasilimali Watu na Utawala, Bw. Kened Nyoni, Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya mikopo ya nyumba (First Housing Finance) Bw. Sasa Chonza pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mikopo ya Nyumba Tanzania (TMRC), Bw. Oscar Mgaya (wa pili kutoka kulia).
Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Yamungu Kayandabila, akizungumza na Mhasibu Mkuu Mwandamizi kutoka Kurugenzi ya Huduma za Kibenki, Bw. Elirehema Msemembo na Afisa Mkuu Mwandamizi wa Benki, Bi. Crispina Nkya, alipotembelea banda la BoT kwenye Maonesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...