RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  ambae pia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake  Ujumbe wa Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar, ukiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg.Hassan Wakasuvi, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia , mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 30-8-2023.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiagana na Wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa wa Zanzibar na Tanzania Bara,baada ya kumaliza mazungumzo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia leo 30-8-2023.(Picha na Ikulu) 

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Kiongozi wa Wenyeviti,  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tabora Ndg.Hassan Wakasuvi, akizungumza na kutowa salamu za Wenyeviti wa CCM, wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya mazungumzo na kumsalimia leo 30-8-2023.(Picha na Ikulu)
WENYEVITI wa Mikoa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mikoa ya Tanzania Bara na Zanzibar, wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza, wakati wa mazungumzo yake na Ujumbe huo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumsalimia.mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 30-8-2023.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...