Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akipokea Maandamano ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kuwasili kwenye viwanja vya Paje kwa ajili ya kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Zanzibar tarehe 31 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Maandamano
ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) yakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa
Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika Paje Zanzibar tarehe 31 Agosti,
2023.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...