Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Viongozi wengine wakati akiangalia mechi kati ya Simba na Power Dynamos ya Zambia iliyofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Jezi ya Timu ya Simba kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Salim Abdallah Try Again wakati wa Sherehe za Simba Day 2023 zilizofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula kuhusu historia ya Klabu ya Simba mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wachezaji wa timu ya Power Dynamos ya Zambia kabla ya mchezo na Simba uliofanyika kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wachezaji wa timu ya Simba kabla ya kuanza kwa mchezo baina ya Simba na Power Dynamos ya Zambia uliofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika kilele cha Tamasha la Simba Day 2023 lililofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke Jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...