Mkurugenzi Mwenza wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala ,Jijini Dar es Salaam Lilll Asela Edward akifuatilia moja ya tukio katika mahafali hayo .
Mkurugenzi Mwenza wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala Jijini Dar es Salaam Lilll Asela Edward akiwatambulisha wageni wakati wa mahafali hayo .
Mkugenzi wa shule ya Msingi na Sekondari ya St. Rosalia ya Kinyerezi Ilala Jijini Dar es Salaam Paul Chrispine Mfungahema akifuatlia mahafali hayo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...