Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Waziri wa Fedha Mhe. Mwigulu Nchemba kabla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mashauriano kati ya Serikali na Makandarasi Wazawa, Washauri Waelekezi pamoja na wadau mbalimbali wa sekta ya ujenzi wa kujadili nafasi yao katika utekelezaji wa miradi na masuala yanayohusu sekta hiyo, uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre, leo Jumanne Novemba 21, 2023 jijini Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...