Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndugu Abdulrahman Kinana amefungua Mafunzo (Semina) ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, ambapo Wajumbe Watafundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi kuwajibika kwa Chama na Serikali, Mafunzo yanafanyika Dar Es Salaam tarehe 28 Novemba 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Komred Abdulrahman Kinana Akifungua Mafunzo ya (Semina) ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, ambapo Wajumbe Watafundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi kuwajibika kwa Chama na Serikali, Mafunzo yanafanyika Dar Es Salaam tarehe 28 Novemba 2023. (Picha na Fahadi Siraji / CCM )
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Wakifuatilia Mafunzo (Semina) ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, ambapo Wajumbe Watafundishwa Mada Tofauti zinazohusu Uongozi na Maadili ili kuongeza Uwezo na Ufanisi kwa Viongozi kuwajibika kwa Chama na Serikali, Mafunzo yanafanyika Dar Es Salaam tarehe 28 Novemba 2023.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...