Serikali kupitia MSD Kanda ya Mwanza imeendelea na usambazaji wa bidhaa za afya katika mkoa wa Simiyu Wilaya ya Itilima.

Pamoja na changamoto ya mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Serikali kupitia MSD imeendelea kuhakikisha bidhaa za afya zinawafikia wananchi waliopo kila eneo la nchi kwa kutumia njia mbalimbali za usafirishaji.  

Pale magari yanaposhindwa kabisa kufika, ndipo njia mbadala za usafiri hutumika  kwa kushirikisha jamii husika ili bidhaa zifike vituo husika na kisha kukabidhiwa kwa kamati.


 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...