
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la Wazee wa SADC (SADC Panel of Elders-POE akitembelea mojawapo ya vituo vya kupigia kura jijini Kinshasha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambako yuko kushiriki Misheni ya SADC kwenye uchaguzi wa nchi hiyo uliofanyika jana tarehe 20 Desemba 2023.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la Wazee wa SADC (SADC Panel of Elders-POE) akiongea na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na timu yake wa DRC jijini Kinshasha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambako yuko kushiriki Misheni ya SADC kwenye uchaguzi wa nchi hiyo uliofanyika jana tarehe 20 Desemba 2023.
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye ni Mwenyekiti wa Jopo la Wazee wa SADC (SADC Panel of Elders-POE) akiongea Timu ya Uangalizi Uchaguzi (SADC Election Observation Mission, SEOM) jijini Kinshasha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambako yuko kushiriki Misheni ya SADC kwenye uchaguzi wa nchi hiyo uliofanyika jana tarehe 20 Desemba 2023.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...