RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, na (kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 31-12-2023 katika viwanja vya Mradi huo kijangwani (Picha na Ikulu)(kushoto)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandishi wa Kampuni ya M+M Architects Co.Ltd Ismail Burhani Mvungi, akitowa maelezo ya michoro ya majengo ya Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi huo leo 31-12-2023,ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Mkurugenzi Mwendeshaji wa (ZSSF) Ndg. Nassor Shaban.( Picha na Ikulu)
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Mabasi Kijanwani Wilaya ya Mjini Unguja leo 31-12-2023 na (kushoto kwake) Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)

MUONEKANO wa moja ya majengo katika Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, lililowekewa Jiwe la Msingi la ujenzi wake leo 31-12-2023 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...