Kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Limited kupitia kampeni yake inayoendelea ya INAWEZEKANA mwishoni mwa wiki ikiwa Mkoani Kilimanjaro, imetoa elimu kuhusu matumizi sahihi ya pombe ambayo inajumuisha unywaji wa kiasi, kunywa maji na kula chakula sambamba utumiapo vilevi pamoja na kupinga uendeshaji wa vyombo vya moto endapo umetumia kilevi.

Kampuni ya Serengeti inatoa rai kwa jamii kuchukua hatua kupinga matumizi mabaya ya vilevi na kuhamasisha kila mmoja kuwa balozi wa kunywa kistaarabu.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...