Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania, Mh. Kassim Majaliwa ashiriki uzinduzi wa mkutano wa kwanza wa ‘Future Ready Summit’ nchini.

· Waziri Mkuu avutiwa na programu za Vodacom Tanzania za ‘Vodacom Digital Accelerator’ na ‘Code Like a Girl’, na kuahidi serikali kuwekeza nguvu zaidi ili kuwanufaisha Watanzania wengi nchini kote.

· Mkutano wahudhuriwa pia na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mh. Nape Nnauye.

· Mkutano wawakutanisha wadau, wafanyabiashara, na kampuni zinazotumia ubunifu wa kidigitali kutoka na kimataifa kuhamasisha mchango wa teknolojia na matumizi ya kutatua changamoto tofauti zinazokabili jamii nchini.

· Mkutano huo umefanyika kwa siku mbili mfululizo, Februari 15 na Februari 16, 2024 katika kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar Es Salaam.

· Washiriki zaidi ya 1000 wajitokeza huku washirika tofauti wakishiri kuonyesha huduma na bidhaa zao za kibunifu ikiwemo Vodacom Tanzania, MassChallenge, Ericson, Huawei, the Funguo Project – UNDP, Stanbic Business Incubator, European Business Group, Inventions Technologies na wengineo.


Waziri Mkuu akitazama namna utoaji wa mafunzo ya teknolojia na masomo ya sayansi kwa wanafunzi wa kike kupitia programu ya ‘Code Like a Girl’,






Waziri Mkuu akipewa maelezo kuhusu uhalifu wa kimtandao,


Waziri Mkuu akipewa maelezo kuhusu programu ya Vodacom Digital Accelerator,



Waziri Mkuu akizungumza wakati wa uzinduzi wa mkutano wa Future Ready Summit.


Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania, Philip Besiimire akishiriki mmojawapo wa mjadala kuhusu masuala ya teknolojia,


Washiriki wa wakiendelea na mjadala kuhusu mada tofauti zinazohusu masuala ya teknolojia,




Miongoni mwa washiriki wa mkutano wa mkutano, akiwa katika banda la washirika waliojitokeza,





Baadhi ya washiriki wakifuatilia wazungumzaji (hawapo pichani) wa mijadala tofauti kuhusu mada zinazohusu masuala ya teknolojia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...