NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
DROO ya Robo fainali Klabu Bingwa Afrika imepangwa leo ambapo vigogo wa ligi kuu Tanzania bara Yanga Sc ikipangwa na Mamelod Sundowns ya nchini Afrika Kusini huku Simba Sc ikipangwa kucheza na Al Ahly ya nchini Misri.
Yanga Sc na Simba Sc wote wataanzia nyumbani na kumalizia ugenini.
Ratiba kamili ya Robo fainali
TP Mazembe vs Petro Atletico
Esperance vs ASEC Mimosas
Yanga Sc vs Mamelodi Sundowns
Simba Sc vs Al Ahly
Nusu Fainali
Esperance/ASEC Mimosas vs Yanga Sc/Mamelodi Sundowns
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...