LIGI mbalimbali duniani leo hii zinaendelea huku kwa upande wa meridianbet wao wameshakuwekea machaguo ambayo unayapenda. Kila timu inataka ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. Bashiri sasa.

Pale LALIGA, RC Celta Vigo atakuwa mwenyeji wa UD Almeria katika dimba la Abanca Balaidos majira ya saa 5:00 usiku huku nafasi ya kushinda akipewa mwenyeji kwa ODDS ya 1.86 kwa 4.21. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mwenyeji alishinda. Je leo hii nani kuondoka na pointi tatu muhimu?. Beti mechi hii hapa.

Usiishie kubashiri tuu, cheza pia michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Pia kule Italia SERIE A kutakuwa na mechi kali na ya kuvutia sana ambayo itazikutanisha timu mbii ambazo zote zinahitaji pointi tatu za maana, Lazio atakipiga dhidi ya AC Milan majira ya saa 4:45 usiku huku nafasi ya kushinda mechi hii akipewa Milan chini ya Pioli akiwa na ODDS 2.20 kwa 3.33.

Wewe beti yako unaiweka wapi hapa huku mwenyeji akiwa nafasi za nane na mgeni nafasi za 3. Mara ya mwisho kukutana Milan alishinda. Je leo hii Sarri na vijana wake watalipa kisasi?. Jisajili hapa.

Wakati kule Ujerumani, BUNDESLIGA FC Bayern Munich chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel baada ya kushinda kwa mbinde kabisa mchezo wake uliopita, hii leo atakuwa ugenini dhidi ya Freiburg kusaka pointi tatu muhimu.

Munich yupo nafasi za pili kwenye msimamo wa ligi huku mwenyeji akiwa nafasi ya tisa kwenye msimamo. Tofauti za pointi kati yao ni 24 huku mara ya mwisho walipokutana Tuche alishinda. 6.27 kwa 1.45 ndio ODDS za timu hizi. Bashiri sasa mechi hii.

Tukimalizia pale Ufaransa, LIGUE 1 AS Monaco atamkaribisha PSG ambaye ndiye kinara wa ligi na bingwa mtetezi wa ligi hiyo akipewa upendeleo kabisa ndnai za meridianbet kushinda mechi hii akiwa na ODDS 2.01 kwa 3.38. Monaco yupo nafasi ya tatu huku mara ya mwisho kukutana Paris chini ya Enrique walishinda. Je leo hii mwenyeji anaweza kulipa kisasi?. Bashiri sasa hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...