IKIWA ni siku nyingine mpya kabisa ya Jumatatu baadhi ya mechi kibao zinaendelea leo hii abapo Meridianbet tayari wameshakuwekea ODDS KUBWA na machaguo uyatakayo hivyo ingia na uanze kubashiri sasa.

EPL leo hii kutakuwa na mechi moja ambayo ni Chelsea dhidi ya Everton katika dimba la Stamford Bridge majira ya saa 4:00 usiku. The Blues wametoka kutoa sare mchezo uliopita huku wageni wao wakishinda. Mara ya mwisho kukutana Pochettino na vijana wake walipoteza mechi. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi?. Beti mechi hii sasa na imepewa ODDS 1.68 kwa mwenyeji na 4.41 kwa mgeni.

Kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Ligi nyingine ni ya LALIGA ambayo nayo itakuwa na mechi moja kali Osasuna atamenyana dhidi ya Valencia CF. Mwenyeji yupo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi huku mgeni akiwa nafasi ya 8. Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee na mara ya mwisho mgeni alipoteza. Je leo anaweza kupindua meza ugenini?. Jisajili hapa.

SERIE A pia nayo kama kawaida kutakuwa n amnitanange miwili ya kukata na shoka, yaani kuanzia majira ya saa 1:30 usiku ACF Fiorentina atazipiga dhidi ya Genoa ambapo timu hizi hazitofautiana sana kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yupo nafasi ya 10 na mgeni nafasi ya 12. Meridianbet wamempa Fiorentina nafasi kubwa ya kushinda kwa ODDS 1.88 kwa 4.11. Wewe unampa nani? Beti hapa.

Mechi ya pili ni hii ya Atalanta dhidi ya Hellas Verona ambao wana msimu mbaya sana wakishika nafasi ya 18 kwenye ligi. Vijana wa Gasperini wapo nafasi ya 6 kwenye msimamo huku wakipendelewa kuibuka videdea leo kwa ODDS 1.42 kwa 7.25. Mechi ya mkondo wa kwanza, Atalanta walishinda. Tengeneza jamvi lako hapa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...