online TUESDAY


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Mazingira Duniani 2024; yatakayofanyika Kitaifa tarehe 5 Juni - 2024 Jijini Dodoma.


Akizungumza na Waandishi wa Habari  Jijini Dar es Salaam leo tarehe 27 Mei 2024; Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kuelekea kilele cha Maadhimisho hayo tarehe 29 Mei , 2024, kutakuwa na uzinduzi wa shughuli mbalimbali zinazotekelezwa Chini ya mradi wa Urejeshaji wa Uoto wa asili.


Amesema mradi huo unatekelezwa katika Wilaya 7 kutoka kwenye Mikoa mitano ya Tanzania bara ambayo ni Iringa, Njombe, Mbeya, Rukwa na Katavi…Read more 06:42 "MAKAMU WA RAIS, MGENI RASMI MAADHIMISHO SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI 2024" 06:42 THURSDAY

 Na Humphrey shao 

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Amesema Jiji la Ilala pamoja na Halmashauri za Manispaa ya mkoa wa Dar es salaam Ni marufuku Kuendelea Kujenga ujenzi wa Msambao  Kwa sababu ya Ardhi yake haipo kama ya mikoa mingine  


Hayo ameyasema Leo Tarehe 30 Mei 2024 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Albert Chalamila Amesema ujenzi huu wa ghorofa ndo ujenzi unaotegemewa kuonekana Katika Jiji la dar es salaam, Wilaya na Halmashauri zingine za mkoa wa Dar es salaam 


"Ukiona majenzi mengine yakijengwa itakuwa ni ushamba mkubwa sana kwenu nyinyi watoto wangu kama mukiondoka hapa na division 4 au division 0 Kwa majengo haya,musome Kwa bidii,muwe na nidhamu,muwena heshima…Read more 18:14 RC CHALAMILA SHULE ZINAZOJENGWA DAR ES SALAAM SASA NI GHOROFA TU 18:14 TODAY

 Na Mwandishi Wetu

Kampuni 130 zimetunukiwa tuzo baada ya kuhimili ushindani katika soko la Dunia, ili kuzipa chachu, kuyaongezea ufanisi na uzalishaji wa bidhaa bora na zenye viwango na tija katika maendeleo na ukuaji wa uchumi ndani Barani Afrika.  

Tuzo zijulikanazo kama tuzo za kampuni Ora Barani Afrika m (ACOYA),  zilizoandaliwa na The Global CEOs Institute kwa kushorikiana na Easten Star Consulting Group Tanzania .

Mkurugenzi wa kampuni ya Mansoor Industries Ltd,Altaf Hiran amesema anashukru kwa kuwepo ushindani ili kuzalisha bidhaa zenye kiwango na ubora unaohitajika 


Akizumza na waandishi wa habari ameshukru kwa serikali iliyopo madarakani inavyonyesha ushirikiano kwa wawekezaji.

Mkurugenzi wa Kampuni ya Eastern Star Group, Deogratius Kilawe (wa pili kushoto), akimkabidhi tuzo Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mansoor Industries Ltd, Altaf Hiran, wakati wa tuzo za Kampuni Bora ya Afrika 2024" zilizofanyika eneo la Masaki.

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar,  Shaban Ozeemary( kulia), akiangana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mansoor Industries Ltd, Altaf Hiran, wakati wa tuzo za Kampuni Bora ya Afrika 2024" zilizofanyika eneo la Masak

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...