Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amepokea wataalam waliokuja na Melivita ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (CPLA) kwa lengo la kushirikiana na kubadilishana uwezo na wataalam wa hospitali hiyo.Prof. Janabi amesema MNH ina idara mbalimbali ambazo wataalam hao watashirikiana na wenzao ili kuboresha huduma za afya na kuongeza ujuzi wa watendaji wake.
Ujio wa meli hiyo unatokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya China ambao umedumu kwa kipindi kirefu.



.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...