RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Kamati ya Uongozi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya Kushughulikia Amani na Mfuko wa Maendeleo Bw. Earle Courtenay Rattray (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-8-2024.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Kiongozi Mkuu wa Kamati ya Uongozi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ya Kushughulikia Amani na Mfuko wa Maendeleo Bw. Earle Courtenay Rattray (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Kilimo,Umwagaliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar Mhe. Shamata Shaame Khamis, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 8-8-2024.(Picha na Ikulu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...