LEO ni siku nyingine ya kuweza kushinda na kutengeneza pesa ndefu kupitia kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet, Kwani leo itapigwa michezo kadhaa ambayo itakupa fursa ya kuvuna mkwanja.
Nchini Hispania ligi kuu itaendelea leo na michezo miwili mikali itachezwa katika madimba mawili tofauti, Lakini pia michuano ya Uefa Europa League na Conference League ya kufuzu hatua ya makundi msimu wa 2024/25 pia itaendelea leo.
Klabu ya Real Madrid baada ya kupata ushindi wa mabao matatu kwa bila wikiendi iliyomalizika leo watakua ugenini wakimenyana na klabu ya Las Palmas, Huku klabu ya Girona wao watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Osasuna.
Michezo ya kufuzu hatua ya makundi ya Europa League itapigwa ambapo klabu ya Ajax leo watakua dimbani kumenyana na Jagiellonia Bialystok, Huku klabu ya Rapid Wien wakiikaribisha timu ya Sc Braga kutoka nchini Ureno, Mchezo mwingine mkali utakua kati ya Besiktas dhidi ya klabu ya Lugano.
Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa kila siku bila kusahau wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.
Michezo ya kufuzu michuano ya Uefa Conference League hatua ya makundi nayo itakuepo leo ambapo klabu ya Trabzonspor watakua nyumbani kukipiga dhidi ya St. Gallen, Huku Kilmarnock watakua wakikipiga dhidi Fc Copenhagen, Chelsea wakiwa ugenini kukipiga dhidi ya Servette.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...