Jina langu ni Sauda kutokea Moshi Tanzania, nimeishi katika ndoa zaidi ya miaka saba sasa na mume wangu, Jose katika miaka mitano ya mwanzo katika ndoa yetu hatukujaliwa kupata mtoto jambo lilonipa wakati mgumu sana msongo wa mawazo.

Kila wakati nilikuwa namwambia mume wangu na watu wa karibu kwamba ningefurahi iwapo siku moja nitajaliwa kupata watoto mapacha.

Wengi walinieleza kuwa ni vigumu ikiwa kwenye familia yenu hakuna mtu aliyewahi kujaliwa mapacha lakini nikajipa moyo ipo siku nitapata tu.

Baada ya miaka miwili ya ndoa tulienda Hospitali mbalimbali na mume wangu kutaka usaidizi ili kuweza kupata mtoto kwani tuliona muda unazidi kwenda na ndugu wameanza maneno.

Tulipatiwa ushauri na baadhi ya dawa na kuanza kutumia kama ambavyo Daktari alishauri, lakini bado sikuweza kupata ujauzito.

Nakumbuka siku moja nilisafiri toka nyumbani kwetu Moshi kwenda kwa shangazi yangu ambaye ameolewa Mombasa nchini Kenya, nilikaa huku kwa muda wa wiki mbili na nusu kabla ya kurejea nyumbani kuungana tena na mume wangu.

Basi katika stori zetu za hapa na pale nilimueleza shangazi kuwa nimekuwa nikihangaika kupata mtoto kwa muda mrefu ambao ni miaka mitano, akaniambia mbona sikumueleza mapema jambo hilo, nikamjibu sikupenda kutoa mambo yangu ya ndani.

Alimuita mtoto wake mdogo akamuagiza ndani akamletee simu yake, akatoa namba hizi +255618536050, akaniambia ebu piga hiyo namba ni ya Dr Bokko.

Basi nikapiga pale pale na kweli akapokea, nikamueleza shida yangu, akanielekeza ofisi kwake. Siku iliyofuata mimi na shangazi yangu tukasafiri hadi ofisini kwa Dr Bokko, tukapokelewa vizuri hadi mwenyewe nikajihisi kupata suluhisho la changamoto yangu.

Nakumbuka Dr Bokko alinifanyiaa ganga nganga zake pamoja na kunipatia dawa na kuniambia nisiwe na wasiwasi na muda wowote nikihitaji msaada nimpigie.

Nilikaa kwa shangazi siku mbili hivi kisha nikafungasha vilivyo vyangu nikarudi kwa mume wangu, alinipokea kwa bashasha maana alikuwa amenimisi sana kipenzi chake. Usiku nikampatia chakula chake muhimu cha usiku kama kawaida yetu.

Wiki tatu mbele hivi niliamka asubuhi na kuanza kutapika, alinipeleka hospitali na baada ya vipimo akaambiwa mkewe ni mjamzito, mwenyewe hakuamini machoni mwake. Tuliporejea nyumbani ndipo nikamwambia shangazi alinipeleka kwa Dr Bokko.

Nilijifungua mtoto wa kike, nilifurahi sana na ndugu zangu na zake pia walifurahi kwa pamoja, kikubwa zaidi miaka miwili mbele nikajifungua watoto mapacha wa kike na kiume.

Mwisho.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...