Naibu Waziri wa nchi ofisi ya Rais mipango na uwekezaji Stanislaus Nyongo ameongoza hafula ya kumbukizi ya kuwaombea Ndugu na jamaa mbalimbali waliotangulia mbele ya haki Kwa mwaka huu 2024, katika viwanja vya lidazi Jijini Dar es salaam 

Akizungumza baada ya kutamatika Kwa shughuli hiyo Nyongo amesema hili ni jambo jema ambalo jamii inapaswa kuliendeleza ili kuwaombea Ndugu ikiwa pia ni njia nzuri ya kujenga udugu na kuendeleza Aman ya nchi yetu.

Nao baadhi ya washiriki wamepata nafasi ya kuzungumzia na kuwahimiza watanzania kujitokeza kuunga mkono jambo Hilo linalofanyika Kila mwaka  ikiwa ni msimu wa kumi Sasa.

Jeff Nassa ambaye ni mratibu wa sherehe hiyo amesema tamasha Hilo limebeba ujumbe mzito katika kukumbushana mienendo yetu na mwisho wetu baada ya maisha ya hapa Duniani

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini ambao waliongoza Dua na Maombi Kwa warehemu wote waliotangulia mbele za haki

Matukio mbalimbali ya picha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...