MUONEKANO wa moja ya Boti 3 za Kusafirisha Wangonjwa “Ambulance Boat” zilizozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Boti Tatu za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzinduzi huo uliyofanyika lkatika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar leo 19-2-2025.(Picha na Ikulu)



/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuzindua Boti tatu za kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” uzindui huo uliyofanyika leo 19-2-2025, katika eneo la Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Kaimu Mkurugenzi Benki ya Dunia Milena Stefanova na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Meneja wa Benki ya Dunia Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika Dkt. Ernest Massiah.(Picha na Ikulu)


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika moja ya Boti za Kusafirisha Wagonjwa “Ambulance Boat” baada ya kuzizindua leo 19-2-2025 katika eneo la Hotel ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...