

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania zilizopo Kampala nchini Uganda, baada ya kuhitimisha Mkutano wa 50 wa Benki ya Maendeleo Afrika Mashariki (EADB). Kushoto ni Balozi wa Tanzania Nchini Uganda, Mhe Meja Jenerali Paul Simuli.(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Kampala-Uganda)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...