NA MWANDISHI WETU

Shule ya sekondari ya Green Acres ya mbezi beach,kata ya wazo,,Wilaya ya Kinondoni,jijini Dar es salaam inawataka wazazi kupeleka vijana wao shuleni hapo ili kuibua na kuendeleza vipaji vya vijana wao.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo Jonathan Kasabila anasema kwamba shule ina waalimu bora wa michezo na kwamba mzazi anapata uhakika wa maendeleo ya kijana wake,

“kama unavyofaham sasa hivi,michezo kwa sasa inachangia pato la taifa kwa kiwango kikubwa, “anasema.

Anafafanua kuwa shule imekuwa ikitoa vijana kushiriki michezo katika ngazi za juu za ushindani na wanafanya vizurii

Baadhi ya michezo inayofundishwa shuleni hapo ni mpira wa miguu riadha na mpira wa pete.

“shule ina walimu bora wa michezo, hivyo unavyomleta mtoto/kijana hapa- una uhakika kipaji chake kitaendelezwa

Anatoa wito kwa wazazi nchi nzima kupeleka Watoto wao shulenni hapo hili kuibua, kukuza,na kuendeleza vipaji vyao

Anabainisha kuwa shule ina mazinggira bora ya kujifunza, viwanja vizuri vya michezo pamoja na mabweni mazuri kwa malazi ya vijana.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...