Meridianbet Foundation, sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), inaendelea kudhihirisha dhamira yake katika kuunga mkono elimu na utamaduni kupitia kampeni yake ya kimataifa ya uchangiaji wa vitabu. Kampeni hii inalenga kusaidia maktaba ndogo na vituo vya jamii kwa kuwapatia vitabu, kukuza tabia ya kusoma, na kuhakikisha taasisi za kitamaduni zinaendelea kuhudumia jamii licha ya changamoto za kifedha.

Kupitia mpango huu, wafanyakazi wa Meridianbet wamechangia vitabu walivyovisoma kwa maktaba ndogo na vituo vya kitamaduni, hatua inayosaidia kuongeza rasilimali za elimu katika maeneo yenye uhitaji mkubwa. "Tunaamini kuwa upatikanaji wa vitabu ni sehemu muhimu ya maendeleo ya jamii yoyote ile," alisema Stefan Todorović, Mkuu wa Global CSR katika Meridianbet Foundation. "Kupitia kampeni hii, tunalenga kuhamasisha jamii kuthamini usomaji na kuendelea kuwekeza katika maarifa."

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao HAPA.

Kampeni hii itaendelea kupanuliwa katika masoko yote ambako Meridianbet inafanya kazi, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kampuni kusaidia maendeleo ya jamii kupitia elimu na utamaduni. Meridianbet Foundation inajivunia kuwa sehemu ya suluhisho la kuhakikisha maktaba zinaendelea kutoa huduma kwa vizazi vya sasa na vijavyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...