RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa kuagwa kwa mwili wa Marehemu Charles Martin Hilary aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 14-5-2025.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa mkono wa pole kwa Mjane wa Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bi.Sara Mwakanjuki, baada ya kumalizika kwa hafla ya kuuaga mwili wa Marehemu, iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 14-5-2025.(Picha na Ikulu)
/RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha maombolezi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji wa Serikali Marehemu Charles Martin Hilary, wa hafla ya kuuaga mwili wa Marehemu iliyofanyika katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Wananchi na Viongozi wa Serikali wakiwa katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Wilaya ya Mjini Unguja wakati wa kuuaga mwili wa Marehemu Charles Martin Hilary, aliyekuwa Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali, hafla hiyo iliyofanyika leo 14-5-2025.(Picha na Ikulu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...