Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla akizungumza na wandishi wa habari mapema leo katika ukumbi wa CCM, Dodoma. wakati akitangaza uteuzi wa majina ya wanachama wa CCM watakaopigiwa kura za maoni kwa mujibu wa Kanuni na Kalenda za Chama Cha Mapinduzi.


UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI 
 
VITI MAALUMU WANAWAKE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...