Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau ( wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa Benki ya Stanbic Tanzania Tawi la Mwanza Geoffrey Makondo wakikabidhi moja ya viti Mwendo 4 kwa Afisa elimu maalum - Halmashauri ya mji wa Bariadi Rutherford Magayane (kulia) na mkuu wa shule ya Msingi Sima A Mwl Adalbert Chambia ( wa pili kulia )katika shule ya Msingi Sima A, wilayani Bariadi mkoani Simiyu.
Msafara huo pia walikabidhi miche ya miti 100, matundu ya vyoo 10, magodoro 40, vitanda 20, viti mwendo 4, magongo ya kutembelea 5, magongo ya mabega 5, magongo ya kiwiko 5. Msafara huo unadhaminiwa na Vodacom Tanzania ikishirikiana na Benki ya Stanbic Tanzania utahitimishwa tarehe 13 mwezi Julai mwaka huu katika Mkoa wa Mara wilayani Butiama nyumbani kwa hayati Baba wa Taifa Mwl Julius Kambarage Nyerere.



.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)



.jpeg)

.jpeg)
.jpeg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...