SASA, Meridianbet wanageuza kilio kuwa kicheko kupitia ofa mpya inayotikisa, Lucky Loser. Ndiyo, hata ukikosa namba zote, tiketi yako inaweza kugeuka na kuwa tiketi ya ushindi. Huu ndiyo msisimko mpya unaoipa Win&Go ladha ya kipekee.
Kupitia Lucky Loser, tiketi yako yenye namba 6, ikiwa imechezwa kwa Cash Account, ikikosa zote, basi ushindi wako unaamuliwa papo hapo kwa kuzidisha dau mara 30. Huu si mchezo wa kubahatisha tena, ni ofa inayothibitisha kwamba hata ukipoteza, bado una nafasi ya kutabasamu na kujikusanyia ushindi.
Zaidi ya hapo, ofa hii imeundwa maalumu kuhakikisha uwazi na urahisi kwa mchezaji. Haijumuishi system tickets, tiketi za bonus wala Golden Round katika makadirio ya ushindi. Hii inaifanya Lucky Loser kuwa ofa safi, nyepesi na inayoeleweka ikiwa haina ujanjaujanja wala mlolongo mrefu, ni namba 6 tu na bahati yako inabadilika.
Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Mara tu unapokosa namba zote, tiketi yako inageuka moja kwa moja kuwa tiketi ya ushindi chini ya Lucky Loser, na haitashiriki kwenye jackpot draw. Na ili kukurahisishia zaidi, tiketi zilizoingia katika ofa hii zitawekwa alama ya clover icon, kukupa uhakika wa kila hatua ya safari yako ya ushindi.
Huu ndiyo wakati wa kuicheza Win&Go kwa mtazamo mpya. Sasa hakuna kupoteza, kila dau ni fursa. Cheza Win&Go na Meridianbet, maana hapa bahati ina sura mbili, ya ushindi na ushindi zaidi.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...