UNAPOCHEZA, kila hatua ni nafasi ya ushindi na sasa hata unapokosa, bado unaingiza chochote kitu. Meridianbet imeleta burudani mpya kupitia mchezo wa Win&Go, ambapo wachezaji wanapata sababu zaidi ya kurudi uwanjani kila siku. Hii inakupa nafasi ya kuendelea kucheza bila presha.
Kupitia ofa hii maalum, kila mchezaji atakayepata hasara ya angalau Tsh.1,000 kwenye Win&Go siku iliyopita, atarudishiwa 10% ya kiasi hicho kama bonasi ya Win&Go. Hii ina maana gani? Inamaanisha hata siku ngumu zinaweza kukupa nguvu mpya ya kujaribu tena na safari yako ya ushindi haikatiki kirahisi.
Vilevile, Michezo mingi zaidi ya kubashiri inaendelea kupatikana ndani ya Meridianbet ikiwa na ODDS kubwa na machaguo mengi zaidi. Kushiriki ni vyepesi kupitia tovuti ya MERIDIANBET au kwa kupiga *149*10#.
Bonasi hii inatolewa kila siku, hivyo kila unapocheza unajua una nafasi ya kurejesha sehemu ya ulichopoteza. Na siyo tu kiasi kidogo, unaweza kupata hadi Tsh. 15,000 kama bonasi. Hii ni nafasi kubwa kwa wachezaji makini wanaotaka kugeuza kila siku kuwa fursa ya kushinda zaidi.
Win&Go si mchezo wa bahati tu, ni mkakati wa kufurahia ubashiri kwa akili na kuendelea kuwa na matumaini hata baada ya kupoteza. Meridianbet wamehakikisha kuwa kila mchezaji anapata thamani halisi ya muda na pesa zake, kwa kutoa ofa zinazolinda na kuongeza nafasi ya ushindi.
Usikae nje ya mchezo huu wa kipekee. Ingia sasa kwenye Win&Go, cheza kwa uhuru, na ujionee mwenyewe jinsi Meridianbet wanavyobadilisha hasara kuwa nafasi mpya ya ushindi. Kila siku ni mwanzo mpya na ushindi wako unaweza kuanza leo.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...