kama kuna aliewahi kutumia senti kama hii na anyooshe mkono. we! mtimkubwa-mkavu, acha! hujazikuta hizi, labda kidoooogo ndesanjo na mark.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. mimi wa lazy hollow nimeitumia hiyo bwana michuzi

    ReplyDelete
  2. mimi wa lazy hollow nimeitumia hiyo senti, bwana michuzi

    ReplyDelete
  3. ha ha ha ha michuzi usisahau ukubwa wa pua!!!!

    ReplyDelete
  4. Lakini we michuzi hii ni senti ya mkoloni au ni senti ya zamani? kwani 1964 tulishapata Uhuru au vipi? hebu tazama mwaka wa hiyo senti, mimi nimeitumi na tulikua tunaiita senti yenye kitobo, hahahaha lakini hebu piga debe ili zitengenezwe tena kama hiyo lakini iwe ya thamani ya shilingi 1000 siyo senti tena, au vipi!!.

    Lazy Hollow

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...