Home
Unlabelled
simba wa vita
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mbona simba wa vita ni jina zito tu??? mengine tuwabakizie na wazee wetu pia walifanya mengi sema hawakuwa waroho wa madaraka!!!
ReplyDeleteBaba yake Freeman mbowe sijui kwanini hatajwi?????????!!!!!!
ReplyDeleteMzee Kawawa ni "Baba Mdogo wa Taifa" :)
ReplyDelete-Mzee Mbegu
Lakini hizi fikra Bw. Michuzi kwa nini unazifikisha hapa kwa sababu iwapo tutataka kunasibisha majina ya waasisi na kuhusiisha na nasabu za wananchi itakuwa tunaikosea jamii, basi kama ni hivyo basi wale wazee wetu wa enzi zile akina Kinjeketile,Zongendaba, Mkwawa,Mirambo, Mangi Meri na wengine wengi kwa nini tusiwape heshima ya utukuzo kama aliyopewa Mwalimu mimi nadhani mawazo haya hayana nafasi kwa sasa, tuwape heshima zao kulingana na yale waliyoyatenda wakiwa viongozi wa nchi yetu.
ReplyDeleteMimi naamini kwa busara za Mwalimu hili jina la kuitwa Baba wa Taifa iwapo Mungu angempa uhai hadi sasa angelikataa, kuna haja ya kusoma ishara ya nyakati, wakati tulionao si ule wa zama zile za UJIMA na ujamaa na kujitegemea na Azimio la Arusha na watu kujitokeza kukimbiza Mwenge unaogharimu mafuta na fedha nyingi kwa watu kuukimbiza nchi nzima ilhali kuna baadhi ya wananchi wanakufa njaa na wengine wanakosa dawa za matibabu huku watoto wakishindwa kulipa ada za shule, kuna umuhimu wa kubadilika katika zama hizi tulizo nazo dunia hairudi nyuma bali tunaenda mbele, tuangalie wanetui wasije kupiga viboko makaburi yetu kwa uamuzi ambao tunmaweza kuupitisha na kuleta athari hapo baadaye.
Unajua Bw.Makongoro, Rosemary akina MADARAKA na watoto wengine wa Mwalimu wanaweza kujifaharisha kujiona wao ndio watoto bora wa Taifa hili, sasa tunataka kumfanya BW. Vita Kawawa naye aanze kujiona kwamba yeye naye..... hapana Bw. Michuzi hii mada naona haina mantiki kwa zama hizi sijui wengine maoni yao yakoje
WAKATABAHU