Home
Unlabelled
Bongo XI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
bwana michuzi,naomba utuwekee picha ya mwalimu akiwa white house early 60`s akiwa mgeni wa JFKennedy, nimewashawahi kuiona hiyo picha kwenye gazeti la deily news miaka ya nyuma.
ReplyDeletetafadhali sana, asante.
Nawaona Kawawa, Kambona, Derek Bryceson, Yule mhindi ambaye mke wake alitapika kwenye banquet ya rais!
ReplyDeleteDerek,Rashidi,Oscar,Amir,Julius
ReplyDeleteNaona hiyo flooring bado ndiyo ile iko pale Ikulu.
ReplyDeleteJe mnajua kuwa katika safu hiyo ni kawawa tu bado hai.mwalimu,jamal,derek,bomani oscar,kamaliza wote wameisha kufa.
ReplyDeleteKwenye hili photo kuna Mwl Nyerere,Paul Bomani,Rashidi Kawawa,Amir Jamal,Nsilo Swai,Said Tewa,Dereck Bryson na Said Fundikira
ReplyDeleteDuuuh hapa lazima nipate 90%
ningekupa 90% endapo kama ungetaja na potfolio zao za wakati huo, halafu aidha watu hawajui ama hawataki kukubali kwamba sirikali ya mwalimu ilikuwa na watasha wawili. wamo pichani. nitajie. mshindi nitampa zawadi popte alipo. nasubiri jibu, mstari-mfu ni jumapili ijayo saa sita usiku...
ReplyDeleteEnzi hizi disiplini tu, ukila rushwa pakora kumi na mbili unapoingia na unapotoka una muonyeshe mkeo, kuna mnoja wao hapo aliponea chupuchupu bakora!
ReplyDeletemichuzi umesahau kusema jumapili tarehe gani? jamjuah
Amir Jamal, Waziri wa fedha Derek Bryeson afya.
ReplyDelete