kebinet ya mawaziri ya kwanza bongo. naomba niwape testi kabla sijaitaja listi nzima, ni kina nani hao na walishika nyadhifa zipi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. bwana michuzi,naomba utuwekee picha ya mwalimu akiwa white house early 60`s akiwa mgeni wa JFKennedy, nimewashawahi kuiona hiyo picha kwenye gazeti la deily news miaka ya nyuma.
    tafadhali sana, asante.

    ReplyDelete
  2. Nawaona Kawawa, Kambona, Derek Bryceson, Yule mhindi ambaye mke wake alitapika kwenye banquet ya rais!

    ReplyDelete
  3. Derek,Rashidi,Oscar,Amir,Julius

    ReplyDelete
  4. Naona hiyo flooring bado ndiyo ile iko pale Ikulu.

    ReplyDelete
  5. Je mnajua kuwa katika safu hiyo ni kawawa tu bado hai.mwalimu,jamal,derek,bomani oscar,kamaliza wote wameisha kufa.

    ReplyDelete
  6. Kwenye hili photo kuna Mwl Nyerere,Paul Bomani,Rashidi Kawawa,Amir Jamal,Nsilo Swai,Said Tewa,Dereck Bryson na Said Fundikira
    Duuuh hapa lazima nipate 90%

    ReplyDelete
  7. ningekupa 90% endapo kama ungetaja na potfolio zao za wakati huo, halafu aidha watu hawajui ama hawataki kukubali kwamba sirikali ya mwalimu ilikuwa na watasha wawili. wamo pichani. nitajie. mshindi nitampa zawadi popte alipo. nasubiri jibu, mstari-mfu ni jumapili ijayo saa sita usiku...

    ReplyDelete
  8. Enzi hizi disiplini tu, ukila rushwa pakora kumi na mbili unapoingia na unapotoka una muonyeshe mkeo, kuna mnoja wao hapo aliponea chupuchupu bakora!

    michuzi umesahau kusema jumapili tarehe gani? jamjuah

    ReplyDelete
  9. Amir Jamal, Waziri wa fedha Derek Bryeson afya.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...