Home
Unlabelled
masela zenj
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naam,
ReplyDeleteVijana hawa maarufu kwa jina la PAPASI au BICHI BOIZI. Huwa wanapata riziki yao kwa kuwatafutia wenye mahoteli na nyumba za wageni, au wenye mataksi, minibasi, au maboti wateja. Wakati mwingine huwa wanapata riziki yao kwa kuwa kama tour guides na walinzi. Pia kwa kuwatafutia mambo mbali mbali wageni kama vile mambo fulani ya kirasta na hata wapenzi.
PAPASI au BICHI BOIZI wamechenjisha maisha yao au kupata tiketi za kwenda ughaibuni kwa kutengeneza urafiki na wageni. Wengi wa vijana hawa ambao nimepata kukutana na kuongea nao huwa ni mashapu sana.
F MtiMkubwa Tungaraza.