mwanamitindo akionesha staili za mustafa hassanali, gwiji wa mitindo bongo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hana raha masikini ya mungu huenda jana yake kakesha akiliwaza mapromota

    ReplyDelete
  2. Wewe Kijana tumia lugha nzuri hii website inatumia na watu wazima na wenye Heshima zao. Jifunze nidhamu eneo hili sio la wauni peke yao.

    ReplyDelete
  3. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni natoa live itakuwa vigumu kama zipo nafasi za maoni halafu tukafungana midomo ndo maana Wapemba tunataka Jamhuri yetu bora nikachangie mabadiliko ya katiba zenji

    ReplyDelete
  4. hapo sioni lugha mbaya ilotumika ni ipi.

    ReplyDelete
  5. hii ilikuwa ughaibuni nini? sioni ngozi ya kwetu isipokuwa yeye tu.

    ReplyDelete
  6. Huyo dada kavuka mipaka na hiyo see through

    ReplyDelete
  7. kwani kimanzichana hazijafika huko? namtetea mtoa hoja wa kwanza kuwa amesema vitu vinavyotokea. kuna haja basi ya kurasmisha eneo hili la urembo, sanaa na michezo ili na sie tuwe na amani tunapowaruhusu binti zetu kuingia kwenye hiyo fani!!!

    ReplyDelete
  8. Haipendezi hata kidogo.....kwani mitindo ya kiafrika hakuna..au fashion creativity katika mavazi ni kuweka mabinti zetu uchi??? huyo "msanii" wa mitindo hiyo akumbuke yuko Kwetu sio kwao...akajaribu kuwaweka uchi dadize aone!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...