mnajimu mashuhuri sheikh yahya hussein (shoto) akipiga stori na makamu wa rais dr. ali mohamed shein

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hapo utakuta anamtabiria eti ndo raisi ajaye...sheick Yahaya ahu ahu....alidai raisi atakuwa demu baadaye akasema atakuwa na sura kama ya kike hendisamu!!! ahu ahu hau!!

    ReplyDelete
  2. lakini alipatia aliposema mkapa atatawala mpaka desemba ingawa uchaguzi ni oktoba 30.

    ReplyDelete
  3. miye mkao wake tu sina hali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...