najua wengi mmekizoea kilele cha mawenzi cha mlima kilimanjaro na kusahau kuna mdogo wake aitwaye kibo ambay ndo huyu. ndesanjo na msaki mwasemaje?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. kilaleee meku hii ni mawensi,,!
    huuu nasikia harufu ya mtori mbeee ,usinkumbushee! ni mimi macha hapa.

    ReplyDelete
  2. Hiyo mawenzi kaka jiografia ndogo tu inakushinda? tena nchini kwako je utasemaje wakenya wanaosema kilimanjaro iko kwao?

    ReplyDelete
  3. Unaona Kibo kina mapengomapengo ambayo yalitokana na kupigwa na mwiko na Mawenzi baada ya tabia yake ya kwenda kuomba chakula kwa Mawenzi kila kukicha kwa madai ya kutokuwa na moto wa kupikia.

    Mnaijua hadithi hii?

    ReplyDelete
  4. umenikumbusha hadith ya zamani sana bwana ndesanjo. jamjauah

    ReplyDelete
  5. Now you are Talking: Wachaga utawajua kwa hadithi zetu ndiokama hizo za hao madada wawili;Kibo na mdogo dadake Mawenzi,wachache ndio wanaojua hadithi kama hizo, hasa wale wenye kupenda kujua mambo ya nyumbani kwao.Kama ulishapata kukaa na babu yako au bibi yako wa kichaga akakuhadithia kisa hicho na hadithi nyingine nyingi za Kichaga.
    Swali;wangapi mmeshaupanda mlima huo? Mimi narudia kwa mara ya pili kwa sababu ya kwanza sikufika kileleni.nitakwenda hivi karibuni na rafiki zangu walioomba kujiunga na mimi kutoka huku nji za magharibi.
    ahsanteni

    ReplyDelete
  6. Kaka nafikiri uwe unaprove vitu kabla ya kurusha blogini hicho ni kilele cha Mawenzi na si Kibo lofa wewe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...