si vibaya kujipongeza siku moja moja, au vipi jeff, hasa baada ya kupata dhahama neshno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. shekh unapata mikojo ya firauni,mungu akubariki

    ReplyDelete
  2. Kula povu mzee haina ubaya

    ReplyDelete
  3. coca cola hii jamani

    ReplyDelete
  4. hii kitu ndio Mola anatumia kuwashia moto(petroli) huko motoni.acha mara moja.

    ReplyDelete
  5. jamani ni coca cola mbona hamtaki

    ReplyDelete
  6. Sio mbaya mkurugenzi...hamna aliyewahi kuona mbingu wala pepo.Wengi tuna mapokezi ya dini za watu tu!
    Jeff

    ReplyDelete
  7. mapepo hayo unakunjwa, angali umelewa tayari, leo utaenda mtongoza mkeo.

    ReplyDelete
  8. Duh! si utani bwana mkubwa.Hii Michuzi ujachanganya kweli?Bia gani hii?

    ReplyDelete
  9. Halafu ijumaa unakwenda msikitini?

    ReplyDelete
  10. Akifanyacho michuzi nadhani ni stahili yake kama wafanyavyo wengine ila labda atupe ufafanuzi ni kitu gani anachokitumia hapo.Ni kinywaji laini au????

    ReplyDelete
  11. hii pombe ni taputapu, au jina lingine komoni baridi, lyatonga

    ReplyDelete
  12. Mchanganyiko wa Malta Guiness na Coca Cola huo.

    ReplyDelete
  13. John Mwaipopo:
    Afadhali umeondoa picha yako, mzee una sura la kutisha

    ReplyDelete
  14. hongera mwaipopo kwa kufanya jambo la hekima, watoto wangu walikuwa hawapendi tena blog kwa sababu ile sura ile.

    ReplyDelete
  15. Wala sijatoa picha nimeamua kutoka hivyo leo. Picha iko pale pale kwa sababu sina nyingine. Watoto wako walie tu. Sibadilishi ng'o.Haitaki kutoka. Tena nataka niweke nyingine ziwa-ge mbili. Nyingine hiyo ni caricature.

    ReplyDelete
  16. ahhahahahahahahhahahahahhahahahahhhaha kweli umedata

    ReplyDelete
  17. Michuzi kumbe na wewe ni mlevi? acha ulevi!!! hahahaha

    ReplyDelete
  18. kaka huyo anapata raha

    ReplyDelete
  19. Wabongo kwa u-holier than thou self righteous siwawezi, halafu hao hao wenyewe jioni wanavuta katoni mbili kwenye friji!

    ReplyDelete
  20. Michuzi,

    Unakunywa Guinness Stout nini? Naona unaifurahia kweli kweli! Nikija DSM utanipa offa lakini? Unakumbuka outings zetu za kutafuta News, huko tunamalizia na moja baridi..Wasalimie wote Daily News!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...