
zawadi ya pasaka kwa mtimkubwa, ndesanjo, makene, mwaipopo, msaki, damija, nkya, jeff msangi na wengineo mnaonipa taff. hawa ni asia dharweish (marehemu, mwanamke pekee kuwa na bendi na kupiga kinanda na kuimba) abdallah dulla (alipigua msondo, tatunane na sasa yu ughaibuni, sina hakika wapi na faliala mbuttu, mumewe lwiza mbuttu wa twanga pepeta. hii ni bendi ya asia
Mungu Mrehemu Marehemu mahali pema peponi. Amen.
ReplyDeleteKama sijakosea Salome Kiwaya ni mwanamama mwingine aliyewahi kuwa mpiga na mmiliki wa bendi. Mnaojua vizuri zaidi naomba mnirekebishe.
Heri ya Pasaka,
F MtiMkubwa Tungaraza.
Mungu Mrehemu Marehemu mahali pema peponi. Amen.
ReplyDeleteKama sijakosea Salome Kiwaya ni mwanamama mwingine aliyewahi kuwa mpiga na mmiliki wa bendi. Mnaojua vizuri zaidi naomba mnirekebishe.
Heri ya Pasaka,
F MtiMkubwa Tungaraza.
Nishukuru maana kumbukumbu hutupazo twazipa heshima sana. AKSANTE RABANA kuongee nguvu.
ReplyDeleteF Mtimkubwa hujakosea. salome kiwaya (pichahye ntabandika punde) aliye dodoma ni kweli ana bendi yake iitwayo sakis stars, ila yeye ni hodari kutunga, kuimba na kucheza, na si kupia ala kama alivyokuwa marehemu. lakini mzee wa chelsea nakuaminia kwa kumbukumbu kama alivyosema makene
ReplyDeleteTunashukuru kwa zawadi hii Michuzi.Ubaya wake zinatutoa machozi kwa kukumbuka nyumbani na mambo ya kwetu..asikudanganye mtu Michuzi..nyumbani ni nyumbani.
ReplyDelete