zawadi ya pasaka kwa mtimkubwa, ndesanjo, makene, mwaipopo, msaki, damija, nkya, jeff msangi na wengineo mnaonipa taff. hawa ni asia dharweish (marehemu, mwanamke pekee kuwa na bendi na kupiga kinanda na kuimba) abdallah dulla (alipigua msondo, tatunane na sasa yu ughaibuni, sina hakika wapi na faliala mbuttu, mumewe lwiza mbuttu wa twanga pepeta. hii ni bendi ya asia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mungu Mrehemu Marehemu mahali pema peponi. Amen.

    Kama sijakosea Salome Kiwaya ni mwanamama mwingine aliyewahi kuwa mpiga na mmiliki wa bendi. Mnaojua vizuri zaidi naomba mnirekebishe.

    Heri ya Pasaka,

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  2. Mungu Mrehemu Marehemu mahali pema peponi. Amen.

    Kama sijakosea Salome Kiwaya ni mwanamama mwingine aliyewahi kuwa mpiga na mmiliki wa bendi. Mnaojua vizuri zaidi naomba mnirekebishe.

    Heri ya Pasaka,

    F MtiMkubwa Tungaraza.

    ReplyDelete
  3. Nishukuru maana kumbukumbu hutupazo twazipa heshima sana. AKSANTE RABANA kuongee nguvu.

    ReplyDelete
  4. F Mtimkubwa hujakosea. salome kiwaya (pichahye ntabandika punde) aliye dodoma ni kweli ana bendi yake iitwayo sakis stars, ila yeye ni hodari kutunga, kuimba na kucheza, na si kupia ala kama alivyokuwa marehemu. lakini mzee wa chelsea nakuaminia kwa kumbukumbu kama alivyosema makene

    ReplyDelete
  5. Tunashukuru kwa zawadi hii Michuzi.Ubaya wake zinatutoa machozi kwa kukumbuka nyumbani na mambo ya kwetu..asikudanganye mtu Michuzi..nyumbani ni nyumbani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...